20 Jul 2013

Nawasalimu kwa jina la Bwana yesu kristo!!kesho jisikie kifika katika kikao cha kwaya kama mwana heavenly kitachofanyika kesho ssaa nane mchana. unaombwa ufike bila kukosa kwasababu nimuhimu sana.
tunakutakia maandalizi mema ya kupanga kuhudhuria na ubarikiwe. 

27 Mei 2013

MEZA YA BWANA

Sabato ya tarehe 14 jul itakua nisabto ya meza ya bwana, hivo tunawaombeni wanakwaya wote muhudhurie katika kushiriki meza ya bwana hiyo.
Tunakutakia maandalizi mema pindi unapotafakari kushiriki meza a bwana 

MGENI RASMI AKIWAASA WAHITUMU KUEENDELEA KUMTUMIKIA MUNGU

katika hotuba ya Mgeni Rasmi aliwaasa wahitimu kueendelea kutmtumia kia mungu wasimwache kwani ndiye kiongozi katika maisha yao, na amewasisitiza kuendelea kukumbukana nawenzeo waliao baki katika masomo kwakuendelea kutengeneza network nasio kukatiana mawasiliano.

WANA KWAYA KWAYA YA VIJANA KIGAMBONI WAKIWA KATIKA SHEREHE YA KUWAAGA MWAKA WA TATU KATIKA CHUO CHA MWALIMU NYERERE.


Vijana hoa wakiwa wamependeza wakiwahudumia katika uimbaji siku ya jumapili ya tarehe 26 may 2013, wakiwa mameambatana na mgeni rasmi kutoka katika kanisa la kigamboni DR John layaa mkuu wa mambo ya elimu katika kanisa la kigamboni.